STD 8 KISWAHILI Please enter your email: Soma vifunzu vifuatavpo, vina maswali 1 had! 15. Kwa kila nafasi umepewa_maiibu manne. Nidhamu au….1….ni jambo….2….na hususan kwa mwanafunzi ambaye….3….kuendelea mbele na masomo yake…..4….na….5…wa siku hizi wameingiwa na kasumba ya wazungu kutokana na yale wanayoona kwenye….6….na kusikiliza kwenye redio. Wanafunzi wote wakumbuke kuwa mwacha. Majibu. 1. A.anima B.taadhimu C.taadhima D.azimia 2. A.asusi B.hasidi C.asusi D.azizi 3. A.anaazimu B.anawaziana C.anaazimia D.azimisha 4, A.benati B.binamiti C.birth D.benazi 5. A.mabwana B.shababi C.mabibi D.mabwega 6. A.hewa B.aidha C.ngamizi D.matangazo 7. A.asali B.asili C.azili D.azili Usirudi kabla hujatembelea kusini….8….Pwani. Utaabiri kivuko cha Likoni. Ukifika ng’ambo ya pill, utaanza kuona tamaduni….9….Pwani. Nvumba zime ….10….kwa ….11…. ya minazi. Huwezikuona kufuli….12….mlangoni kwani wote ni ndugu.. Aidha utaona vyakula vya ….13…. . Wao ni….14….wa mapishi. Wanajua,,,,15….aina mbalimbali za vyakula wakakuacha ukiramba vidole. MAJIBU. 8. A.wa B.ya C.za D.cha 9. A.Za B.Ya C.Wa D.La 10. A.ezua B.kuandika C.ezekwa D.kuandikwa 11. A.mabali B.miti C.makuti D.madafu 12. A.lolote B.yoyote C.zozote D.chochote 13. A.kuazili B.kuasili C.kienyechi D.viasili 14. A.galacha B.walegevu C.magaidi D.mabozi 15. A.kukaranga B.kukaanga C.kuchemsha D.kutokosa Kutoka swali 16 mpaka 30, chagua fibu Hullo sahihi. 16. Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Mweledi alikunywa uji kisha akatapika. A. Waeledi walikunywa nyuj i kisha wakatapika. B. Waledi walikunywa uji kisha wakatapika. C. Waulidi walikunywa nyuj i kisha wakatapika. D. Waledi walikunywa uji kisha akatapika. 17. Chagua kiashiria katika sentensi hii: Dukani pake ndipia alipomwona mgeni yule. A. pake B. yule C.alipomwona D. mgeni 18. Nomino kiumbe iko katika ngeli gani? A. KI – VI B. A – WA C. I – ZI D. KU – KU 19. Chagua methali iliyo na mshabaha na: Mnyonyore haunukii hupendeza mauaye. A. Kula kutamu kulima mavune B. Usione wembamba wa reli, gari moshi hupita C. Mchagua samaki hupata aliyechina D.Chema chajiuzakibava chajitembeza 20. Mtu anapopatwa na msiba hupatiwa mkona wa A. yamirii B. tanzia C. tahania D.shemali 21. Chagua nomino iliyoambatanishwa sahihi na amali yake. A. Mrumba – mtu anayewawinda wanyama B. Dalali – anayetafsiri lugha C. Mutribu – ana} eghani mashairi D. Gawacli – a naycpeleka habari yaposa 22. Ujumbe unaotumiwa kwa kutumia tarakilishi na ambayo ni njia haraka sana ya mawasiliano huitwa A. utandawazi B. kipepesi C. arafa D. barua melee 23 Ni sentensi ipi inayoonyesha ji ya hali? A. dituhili lilitisha B. Anajisemea mwenyewe C. Uogeleaji u lituvutia D..Ana jasho jingi 24. Onyesha msemo unaoashiria maana ya kuvumilia uchungu. A. Kuvaanichcna kujitanda kuni B. Kuvuka kilemba cha ukoka C. Kujipalia ni akaa D. Kumeza mrututu 25. Nyoka mwenye sumu si mwengine yeyote ila bafe. Maneno yaliyopigwa mistari yanaashiria nini? A. Viashiria visisitizi B. Vivumishi halisi C. Vivumishi ashiria D. Viwakilishi 26. Shairi ambalo limegawanywa katika vipande viwili huitwa A. manthawi B. ukwafi C. manthami D. ukwapi 27. Teua kiunganishi sahihi. Moraa alipokwenda cheteni alinunua bidhaa tele mboga, Viazi vitamu, viungo vya upishi na matunda. A. aghalabu B. mighairi ya C. sembuse D. mathalani 28. Pindo na kona ya barabara ni A. duara B. kuruba C. ghorofa D. ghubari 29. Pesa anazo tumia tutu kuanzisha biashara zinajulikana kama A. mtaji B. arbuni C. karadha D. *Ida 30. Ni sayiri ipi ambayo ni ndogo kuliko zote zinazojulikana? A. Zuhura B. Utaridi C. Zebaki D. Sarteni Soma taarifa ifuatavo kisha uiibu maswali vanavofuata 31 – 40. Siasa ni nini? Siasa ni itikadi inayofuatwa na nchi. kundi au jamii fulani ambayo ni msingi wa kuendeshe uchumi, utamaduni na mwenendo mzima wa maisha ya nchi au jaii hiyo. Wakenya wengi wamepotoka na kufikiria kuw siasa ni kufurahia vya bwerere kila baada ya miaka mitano uchaguzi mkuu unapotangazwa. Hawajui kwamba siasa i utaratibu mkuu mwafaka wa kutenda hususan mambo ya utawala kwa kaki namaadili yaf2ayo. Siasa bora chairabilecho rail wetu, ni maisha bora. Wakei:*7a, wakifuata siasa zilizokomaa bila shalortutafurahia matunda yake. Matunda matamu ya siasa ni kama vile uimarishaji wa elimu, shughuli za afya, barabara nzuri, usalama na hali ya utulivu katika nchi. Kinyume ni cha haya, siasa mbaya huzusha uhasama. Umaskini na mchafuko wa., ,z.lishakwa jumla. Kwa Wakenya, hasatunapokaribia uchaguzi mkuu swali kuu ni hili, je tutawachagua viongozi .venye vipawa vya uongozi walielekeza jaha7i letu fanakani au tutahongwa na kuchagua mabwenyenye wafisadi atakaolizamisha jahazi letu? Haki ya mwananchi katika siasa za nchi yake ni ipi? Bila shaka ni kuturnia kura yake kumchagua mwakilishi anayefaa iii kusaidi a kutunga sheria nzuri bungeni zitakazoongoza shughuli za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwamanufaa ya Wakenya. Jambo jingine muhimu wakati wa kampeni za uchaguzi ujao ni kudumisha amani na kutofuata viongozi wa vyama mbalimbali vya kisiasa. Watakaoibuka washindi wayashughulikie maslahi ya wananchi kabla ya mahitaji yao binafsi. MASWALI. 31.Wananchi yafaa washiriki katika siasa za nchi yao A. kuwachagua viongozi B.kujikumbusha wakati wa uchaguzi C. kuwachagua mabwenyenye kuongoza jahazi D. kuwachagua viongozi wafaao 32.Wananchi wanaharibu siasa za nchi kwa A. kujiunga na vyama vya kisiasa B. kutawala bila haki C. kukubali kuhongwa na wagombea uchaguzi D. kutunga sheria zisizofaa 33.Kati ya mambo haya ni lipi lisilo tunda la siasa bora? A. Siha bora B. Ukarabati wa barabara C. Rangaito D. Maisha na maendeleo kwa wananchi 34.Jahazi lililotajwa katika ufahamu ni A. meli B. wafisadi C. vipawa vya uongozi D. maisha na maendeleo kwa wananchi 35.komaa limetumiwa katika habari hii kwa maana ya A. kuimarika na kufika kiwango cha juu B. kufika mwisho C. anzishwa D. fumbuliwa 36.Mwakilishi wa wananchi katika serikali za mitaa huitwa A. chirimiri B. ufisadi C. rushwa D. kadhongo 37.Mwakilishi wa wananchi katika serikali za mitaa huitwa A. mbuge B. diwani C. balozi D. chifu 38.Wawakilishi wengine wa wananchi huwakosea sana kwa A. kukosa kipawa B. kupokea.hongo C. kupinga maendeleo D. kuyaweka maslani yao 39.Chagua sentensi sahihi kulingana na habari uliyosoma. A. ‘Vyama vingi vya kisiasa havifai B. Siasa bora huleta ustawi nchini C. Mabwenyenye pekee ndio wafaao bungeni D. Matunda ya siasa ni uhasama 40.Kichwakinachofaa zaidi kwa habari hii ni A. Siasa bora B. Vyama vingi vya kisiasa C. Uchaguzi mwakani D Amani na upendo Soma taarifa ifuatavo kisha uiihu rnaswali 41 – 50. Bingi Lulu alikuwa huralaini. Fauka ya hayo, alilelewa vyema kwa maadili maridhawa yaliyompendeza na kumfurahisha kila adinasi. Aidha alitunukiwa akili pevu na tambuzi iliyomwezesha kusoma hadi chuo kikuu na kupata shahada ya uzamifii. Alitaalamika katika taaluma ya uhasibu akiwa na umri mdogo sana ukilinganishwa na wenzake wenye kiwango hicho cha elimu. Pindi alipohitimu masomo yake, aliajiriwa kazi na shirika moja lisilo la kiserikali kwa mshahara wa donge nono. Urembo wake, elimu na kitita cha pesa vilifanya wanaume wengi kumkaratni a mithili ya kinamast jangwani wakiwa na lengo la kumchumbia. Maadamu Lulu hangeweza kukashifu maumbile akasalimu arnri. Alimwenzi mvuli mmoja amb aye alikuwa akifanya naye ingawa katika idara tofauti. Usuhuba wao ulij engeka nakuWa na chanda na pete. Wakaonakwamba njiaya pekee ya lcufurahiaupeo.huu wa mapenzi ni kufunga pingu za maisha. Mshenga alipatikana na kuwaarifu wazazi wa wachumba kuhusu nia yao ya kufunga ndoa. Wazazi nao kutoka pande zote wakakubali bila ya pingamizi zozote. Juhudi za mshenga zikawakutanisha wavyele wa wachumba, mahari yakajadiliwa na kulipwa na hatimaye mikakati kabambe ya harusi ikaanza na ktishika kasi. Tabasamuzikajaa nyusoni pa wachumba. Wall osema kwamba dunia ni duara, huzunguka kama pia, waligonga ndipo. Siku moj a mama Lulu alirnIcuta akil i a kwikvaikavi nakupiga kite, alipmdadisi, aliyoyasikia yalimwatua moyo. Lulu alimweleza mamaye kwamba mpenzi wake Tema, alimtaliki na kumchukuwa msichana mwingine. Tema aliona kwamba Lulu hampendi. kwa kutaka wangojee urasimuwandoa ambao ingechukua muda. Mamaye Lulu alimliwaza nakutnfariji akamshauri amsahau mwanaume asiyeheshimu mkataba. Kweli uchungu wa niwana aujuaye ni mzazi, Lulu alizingatia mashauri ya mama yake. Alihama akaenda kufanya kazi ya kuwahudumi a watoto mayatima baada ya Tema kumtema Lulu alimwoa mpenzi mwengine. Hakurnjulia Lulu la hen wala la shari. Lulu aliendelea kuchapa kazi. Hatimaye huko alipata ghulamu mmoja mtanashati aliyempenda akamwamini n a kumthamini. Walioana baada ya kujuana na kuchumbiana miaka mitatu wakaishi raha mustarehe. Yakini, Mola hamtupi mja wake. 41.alikuwa hurula.ini.”Ni fani gani ya lugha iliyotumika hapa? A. Tashbihi B. Msemo C. Takriri D. Istiara 42.Lulu alikuwa banati wa aina gani? A. Wa kufuata rubaa B. Wa kufuata adili C. Wa kufuata msimamo wake D. Wa kufuata upepo 43.Tunu iliyotunukiwa Lulu ilitoka kwanani? A. Wazazi B. Mola C. Walimu D. Marafiki 44.Msenio –akasalimu amri” imetumika katikataarifa. Maana yake kulingana na habari ni A. akakubali mapenzi B. akakat a a mapenzi C. akatoroka D. akaamrisha 45.Mshenga hufanya kazi gani? A. Mtu anayevuruga ndoa B. Mtu anayechunga ndoa C. Ni sawa na mhenga D. Mtu an ayetumwa kupeleka posa 46.`tabasmuzikajaa nyusoni pa wachumba.’ Ni methali gani ambayo ingefaa zaidi kueleza maneno haya? A. Ajuaye kupendwa haachi kujisahau B. Mwenda pole hajikwai C. Mapenzi ni kipofu D. Kipendacho moyo ni dawa 47.Chagua sentensi ambayo si sahihi kulingana na taarifa uliyoisoma. A. Lulu alilia kwa sababu aliachwa na mchumba wake B. Tema alifariki baada ya miaka miwili walipoachana na Lulu C. Nasaha ambayo Lulu alipewa na mama yake ilimfaa D. Lulu aliwafariji na kuwaauni wasiobahatika jamii 48.Kulingana na taarifa, ni dhahiri shahiri kwamba Tema alikuwa kijana A.laghai B. gaidi C. mpwamu D. mwadilifu 49.Malipo ya kuolewa huitwa A. mapoza B. kiangazamacho C. mpwamu D. mahari 50.Kwa nini Lulu aliomba uhamisho? A. Ili aweze kumpata mchumba mwingine B. Ili aweze lcuwahudumi a mayatima wakongwe na wenye UKIMWI N izuri C, Ili atoke katika mazingira ya nyumbani D. Ili kughafilika mkasa uliompata Loading … Question 1 of 50