Please enter your email: Soma kifungu kifuatacho kisha uiaze nafasi 1-15. Mvua ilipoanza…1…,…2… walikuwa barabarani mjini. Ikabidi baba na mjukuu ..3… kutafuta mahali karibu na maduka…4…na mvua. Waliona watu wengine wakitimua ..5…muda to mvua ilipoteremsha..6…zake kwenye uso..7…. Kilichowashangaza ni kuwa watu hao waliogopa ..8…lakini hakuwaogopa kugongwa na…9… “Babu, kwa nini wale wanawake wamejifunika karatasi…10…nailoni”.Mjukuu ilimtoka. “Mbona hiki ni ..11… !””Wewe unafikiria wataziacha nywele ..12…ziingie maji bure…13….na wamemwaga mamia ya pesa..14… saluni?” Babu alimtegulia kitendawili…15… . 1. A. kunyesha B. kumwagika C. kutonyesha D. kupusa 2. A. pote B. kote C. wote D. mote 3. A. wake B. chake C. yake D. pake 4. A. waimbe B. waceke C. walale D. wajikinge 5. A. mbiu B. mbio C. miguu D. meno 6. A. njema B. sema C. pema D. neema 7. A. arthi B. bingu C. ardhi D. binguni 8. A. kuokota B. kukoka C. kwenda D. kula 9. A. magari B. meli C. ndege D. mashua 10. A. za B. wa C. la D. cha 11. A. vioja. B. kioja C. kionja D. vionja 12. A. kwo B. pao C. zao D. nao 13. . A. bure B. bilashi C. bilabila D. ovyo 14. A. kuzitema B. kuzilisha C. kuzipanda D. kuzitengeneza 15. . A. yake B. wake C. pake D. chake 16. 2/5 ni sawa na A. humusi mbili B. nusu tano C. theluthi mbili D. tusui tatu 17. Kamilishasemi hii; Aliponea chupu…………. katika ajali hiyo. A. chapu B. chupu C. churu D. chache 18. Yeye anaringa kama A. paka B. simba C. tausi D. sungura 19. Maneno kama kalamu, chupa na dawa yapo katika ngeli ya A. U I B. KI – VI C. I – ZI D. LI YA 20. Katika kusafiri kwenye basi watu hulipa A. nawiri B. karo C. kiingilio D. nauli 21. Tumia alama sahihi ya uakifisho.”Kumbe Maria a_mefika A.? B. ! C.” D. ? 22. Wingi wa “kifaranga wangu” ni A. Vifaranga vyetu B. Vifaranga wao C. Viraranga vyangu. D. Vifaranga wetu 23. Ni ala ipi arnbayo si ya muziki? A. Bisibisi B. Kayarnba C. Gitaa D. Kinubi 24. Andika sentensi hii kwa udogo.Mji wetu ni mdogo sana. A. jiji chetu ni kidogo sana. B. Jiji letu ni dogo sana. C. Kijiji chetu ni kijidogo sana. D. Miji yetu ni ndogo sana. 25. Kanusha sentensi ifuatayo.”Abdi anakula chakula”. A. Abdi hakuli chakula. B. Abdi hakuli vyakula. C. Abdi hali vyakula. D. Abdi hall chakula. 26. Kutokana na jina rmsomaji’ tunapata kitenzi A. somo B. soma C. usomaji D. masomo 27. Tumia kivumishi `-enye’ vizuri.Shamba rutuba lina mavuno. A. chenye B. mwenye C. lenye D. yenye 28. Tunasema barsza la wazee, jozi la viatu na kicha cha A. ndizi B. kuni C. funguo D. askari 29.Nini maana ya;Eli ni sungura A. baridi mno B. yu mlafi C. ni mkali D. mjanja 30. Mmea wa mgomba huzaa A. ndizi B. kahawa C. zabibu D. miwa Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali 31 – 40. Siku iliyofuatia ya klabu, rafiki yangu nami tulikuwa tunatayarisha shamba la nbeg-u. Tulifanya shamba hilo ndogo la mbegu kuinukia kwa kuinua mchanga, kama vile Bw. Odhis alivyokuwa arnetuonyesha mwaka uliopita. Ayaga, Kageha na mimi ulitayarisha shamba moja na wengine wa kikundi hicho wakichota nyasi zilizokauka. cisha tulinyunyizia maji shamba na kuvuna mbegu zetu. Tulivuna mbegu za nyanya, kabeji na karoti katika shamba tofauti. Baadaye tulifunika vijishamL, hivyo kwa nyasi zilizokauka na kumwaga maji mengi juu ya nyasi hizo. Mbegu hizo hazikuwa lazima zinyunyiziwe maji kwa siku kadhaa. 31. Ilikuwa ni siku gani kwa wanafunzi? A. Siku ya klabu B. Siku ya kuigiza C. Siku ya sherehe D. Siku ya kwaya 32. Siku arnbayo walikuwa wanajitayarisha kwa siku hiyo, hutokea mara ngapi katika maoni yako mwenyewe? A. Kila siku’ B. Kila wiki C. Kila mwezi D. Kila mwaka 33. Ni vishamba vingapi vidogo vilitayarishwa? A. Viwili B. Kimoja C. Vitatu D. Hatujaelezwa 34. Hizi zote zilivunwa isipokuwa A. maembe B. mbegu za kabeji C. mbegu za karoti D. mbegu za nyanya 35. Wanafunzi ambao hawakutayarisha vijishamba A. walikuwa wavivu. B. walikuwa wameshatayarisha vyao. C. waliadhibiwa D. waliokota nyasi na kuteka maji. 36.Ni kweli kusema A. siku ya klabu haikufaulu B. Bw. Odhis alikuwa mwalimu wa kupanda. C. Bw. Odhis alikuwa mkulima D. vijishamba vitano vilitengenezwa 37. Wanafunzi walitengeneza vijishamba ambavyo vilikuwa vimeinukia kwa A. kumwagilia mchanga maji B. kuinua mawe C. kutumia nyasi zilizokauka D. kuinua mchanga 38. Nani waliotayarisha vijishamba? A. Bw. Odhis, Kageha na Ayaga B. Ayaga peke yake C. Ayaga, Kageha na mwandishi D. Mwandishi na wana kikundi wengine. 39. Mbegu zilivunwa A. katika vijishamba tofauti B. kwa karatasi za nailoni. C. kama zimechanganyika D.kwa kutawanywa kila mahali 40. Nyasi zilizokusanywa zilikuwa za A. kufanya vijishamba kuwa na joto B. kuzuia vijishamba kuwa na joto C. kuzuia panya D. kunyunyizia vijishamba Soma habari ifuatayo kisha ujibu maswali 41 – 50. Bwana Pombe anaishi katika kijkp. cha Mamboleo. Alipokuwa mtoto mdogo alipendwa sana na wazazi wake. Alikuwa na tabia nzuri sana. Lakini alipofi.ka darasa la pill. alianza •kuwa mtoto mbaya sana. Alianza kuonjaonja sigara na kushiriki ulevi. Bwana Pombe aliendelea na tabia hizo mbaya hadi akazoea na kuwa mlevi chakari-wa kila siku. Alikatazwa lakini hakusikia. Alikataa kuendelea na masomo. Siku hizi Bwana Pombe anateseka sana, hana makazi, hana pesa zozote za kugaramia mahitaji yake. Anatamani kurudi shuleni lakini hawezi kukubaliwa kwani tabia zake ni potovu. Yeye huishi rasa “ningalijua singalianza tabia mbovu. Kumbe elimu ni kitu kizuri! Maskini ningalijua!” 41. Bwana Pombe anaishi katika A. Mbirikimo B. Mbombolulu C. Mamboleo D. Kisasa 42. Ni lini alivyoanza tabia mbaya? A. Akiwa mkubwa B. Kabla kufikia darasa la tatu C. Akiwa darasa la tano D. Hatujaambiwa 43. Ni ipi kati ya hizi tabia hakushiriki? A. Uvutaji sigara B. Ulevi wa kupindukia C. Kutoenda shule D. Wizi wa naabavu 44. Ni shida gani kubwa hasa ambayo imempata Bwana Pombe? A. Kukosa mke B. Kukosa bangi C. Kukosa elimu D. Kukosa ajira 45. Ni nini kinyume cha neno `shida’? A. Faida B. Huzuni C. Raha D. Taabu 46. Hadithi hii inatufunza A. ngoja ngoja huumiza matumbo B. mtoto mtundu C. elimu ndio ngao D. ulevi hatari 47. Kuwa na tabia potovu ni A. kufurahi sana B. kuwa mvutaji sigara C. kuwa na tabia mbaya D. kuregarega 48. Neno `chakari’ limetumika katika habari hii linamaanisha A. vizuri B. kupindukia C. hobelahobela D. mmoja 49.Kwa nini Bwana huyu hawezi kurudi shuleni? A. Ataadhibiwa na mwalimu B. Aria umri mdogo C. Hawezi kuelewa lolote D. Tabia zake ni potovu 50. Gani kati ya hizi si mbaya kwa afya? A. Sigara B. Tunda C. Bangi D. Pombe Loading … Question 1 of 50