Please enter your email:

Soma kifunku kifuatacho kisha Maze nafasi zilizoachwa wazi kutoka 1-15.
Kenya ni…1…ambayo imebarikiwa kuwa na…2… zaidi ya arubaini na…3…. Watu wa maeneo mbalimbali hufuata mila na desturi mbalimbali hasa…4… kutoka kwa mababu…5…. Jamii inayohamahama huzingatia…6…kwa sababu ni rahisi kuhama na mifugo.Wamaasai wanatambulika kila waendapo kwani hawakosi…7…kiunoni na …8…mkononi. Virungu hivyo wanavyovibeba ni siiaha ambayo hawaitumii ovyo ovyo.Jamii ya Wakaraba inasifika kwa ujuzi wa kurusha mishale. Si ajabu kuwaona wamebeba…9… mikononi na mishale iliyojaa …10…. Ni rahisi…11…adui kwa sababu unaweza kujificha mbali na ‘whale hautoi silaha.Serikali inashughulikia …12…la…13…wa mifugo. Jambo hili limesababisha …14…mengi kwa sababu hakuna anayekubali kuwapoteza mifugo …15… .

1.

 
 
 
 

2.

 
 
 
 

3.

 
 
 
 

4

 
 
 
 

5.

 
 
 
 

6.

 
 
 
 

7.

 
 
 
 

8

 
 
 
 

9

 
 
 
 

10

 
 
 
 

11.

 
 
 
 

12

 
 
 
 

13.

 
 
 
 

14.

 
 
 
 

15.

 
 
 
 

Kutoka swan la16 hadi 30 libu kulingana na maagizo

16. Ni chakula gani ambacho hutokoswa?

 
 
 
 

17. ……………ya vitabu yameloa chepe.

 
 
 
 

18. Kamilisha methali hii:- Kikulacho ki

 
 
 
 

19. Andika kwa……….. Mkunga huyu ni mtamu.

 
 
 
 

20. Kamilisha sentensi ifuatayo kwa kuradidi.Mwanafunzi

 
 
 
 

21.Kikembe cha Sungura huitwaje?

 
 
 
 

22. Nitamwitaje mama wa mama yangu?

 
 
 
 

23 Tumia kiunganishi sahihi kukamilisha sentensi hii:-

Baba yake Chuchi hakushirild zoezi kucheza

 
 
 
 

24. Andika akisami hii kwa maneno 3/9?

 
 
 
 

25. Mwanajeshi alivalia……………….Hi kuzuwia risasi kupenya mvilini.

 
 
 
 

26. Kitendawili:- Ni mgeni wa kila mja japo hapendwi

 
 
 
 

27. Chagua kiulizi sahihi kukamilisha sentensi:-

Ni mayai………………………. hayaliki.

 
 
 
 

28.Mazao yapi yatokana kwa mpunga

 
 
 
 

29.Anakoishi kuku ni kizimbani. Je, anakotagia kuku ni

 
 
 
 

30. Shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti ni:-

 
 
 
 

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali 31-40.
Shumbe alitumia hela nyingi kuwapa wazazi wa Nuru. Aliwasahau wazazi wake kabisa na mara nyingi alipopata barua kutoka kwao, alizirarua bila hats kuzisoma. Mambo yaliendelea vivyohivyo mpaka wakati wao wa kuoana ulipofika, ndipo wakafunga ndoa takatifu kanisani walipokutana mara ya kwanza.
Baada ya kuishi pamoja kwa mwaka mmoja hivi, Nuru alifanikiwa kupata mtoto wa kiume aliyemwita Paulo. Mtoto wao aliltlewa katika hall nzuri ya maisha. Shumbe aliweka pesa nyingi sana za kumnunulia mavazi ya bei Bali. Hata gharama ya maisha yao ilikuwa ya juu sana ingawa wote wawili walikuwa walevi kupindukia.
Shumbe alianza kuonyesha tabia mbaya sana katika kazi yake. Hakuifanya kazi yake vizuri-tena. Ule uaminifii wake wa hapo awali ulianza lcutoweka. Maisha yake yalizidi kuwamabaya. Alianzatabia ya kuzunguka vibarua kila mahali mjini mara alipofika saa za jioni?Ilikuwa kawaida yake kutembelea jiji la Nairobi mara mbili au tatu kwa siku.
Alichelewa kufika kazini, hakuwa na mtu mwingine ambaye angeshika kazi yake wakati yeye mwenyewe hayupo. Kwa hivyo vitu vingi vya Kampuni hiyo viliibwa na wafanyikazi. Alizidi kuzururazurura mjini na mara nyingi alichelewa kufika nyumbani kwake mpaka saa nane au tisa za usiku. Mwishowe alipigwa kalamu kazini naye bibi akapotelea kwao kwani hawangeweza kumvumilia tena. Maskini Shumbe, ole wake!

31. Waliopokea hela nyingi kutoka kwa Shumbe ni

 

 
 
 
 

32. Waraka aliopata Shumbe kwa wazazi wake ali

 
 
 
 

33. Ni nani aiiyekuwa mlevi?

 
 
 
 

34. Kupigwa kalamu ni

 
 
 
 

35. Shumbe pamoja na Nuru walikuwa na watoto wangapi?          

 
 
 
 

36. Nuru alipotelea kwao maana yake ni

 
 
 
 

37. Mtoto alinunuliwa vitu vya bei, ni sawa na kusema

 
 
 
 

38. Nini kilichosababisha Shumbe kuacha kazi?

 
 
 
 

39. Kila mara Shumbe alifika nyumbani saa gapi?

 
 
 
 

40. Kwa maoni yako, adhabu aliyopewa Bwana Shumbe ilimfaa?

 
 
 
 

Soma habari hii kisha maswali vafuatayo.
Vile tunavyozidi lculcua ndivyo tunavyoendelea kujifunza mambo mengi maishani. Kati ya hayo, muhimu zaidi bila shaka ni kazi na mapumziko mbali na pilkapilka nyinginezo.
Kuna kazi za aina nyingi. Hata hivyo, wajibu wetu mlaibwa ni kuwasaidia wazazi kwa kazi kama vile kufua nguo, kuchunga mifugo, kutumwa dukani na kufagia.
Lakini inasikitisha kuwa wengi wetu hupendelea uvivu na kucheza. Uzembe una ndugu yake katika kujisingizia ugonjwa, nako kucheza hakuwezi kutulisha wala kutUvisha.
Ndivyo tunaambiwa kuwa uvivu ni adui wa maendeleo, kwamba zile kazi, vikazi na vijakazi nyurnbani ndivyo michango yetu katika kutafuta riziki.
Kupumzika kama sehemu nyingine ya maisha yetu hakuna haj a kuzungumziwa sana. Kwa nini tupum.zike? Hata katika maandiko matakatifu tunaendelezwa kuwa katika kuumba ulimwengu, Mwenyezi Mungu alifanya kazi kwa siku saba. Sisi pia hadi kadhalika tuna siku ya kupumzika kila juma.
Katika kufanya kazi huwa tunatumia nguvu. Kitumiwacho humalizika. Lakini kwa bahati uzuri nguvu zetu hujengeka na kupatikana upya baada ya mapumziko. Matokeo yakiweza kufanya kazi vizuri na kwa moyo zaidi.

41. Vijana huendelea kukua

 
 
 
 

42. Neno pilkapilka linamaanisha?

 
 
 
 

43.Njia nyingine ya kusaidia wazazi wetu ni :-

 
 
 
 

44. Kisawe cha nano uzembe ni

 
 
 
 

45. Kutokana na habari Mungu pia

 
 
 
 

46. Neno riziki kulingana na habari hii ni

 
 
 
 

47. Ni jambo gani halijapendekezwa?

 
 
 
 

48. Kamilisha kulingana na hadithi:- Uvivu  ni

 
 
 
 

49.. Sababu maalum ya kupumzika ni

 
 
 
 

50. Mungu alifanya kazi siku ngapi?

 
 
 
 

Question 1 of 50