Please enter your email: Cha,vuglika sahihi kwa vale ulivopewa kujazia nafasi ilivoaehwa wazi.Watu wengi husadiki kwamba watoto..1..hilfuata..2..ya wazazi wao. Mzazi akiwa na..3..njema, papa..4..watoto wawe..5….hivyo kwani wahenga..6..mwana hutazama kisogo cha..7… NUMBARI 1 ,A. huleta B. husadiki C. aghalabu D. huapa NUMBER 2 A. mielekeo B. miendo C. mwenendo D. nyayo NUMBER 3 A. kazi B. hulka C. sura D. nia NUMBER 4 A. uwezekano B. uwezo C. tetezi D. ukweli NUMBER 5 A. hivyo ‘ B. vile C. Viyo D.Vivyo NUMBER 6 A. waliamba B. walighilibu C. walihadaa D. walitambaa NUMBER 7 A. da.dake B. ninake C. babake D. nduguake Timu..8..shule yetu..9..imefanya mazoezi..10..kutosha na ilikuwa tayari..11…na..12..washindi . Tulipofika uwanjani, tulikuta..13…wamejaa wakingoja..14…ziumizwe. Tulishangilia kwa vitijo na..15…za furaha. NUMBER 8 A. za B. la C. wa D. ya NUMBER 9 A. zilikuwa B. lilikuwa C. ilikuwa D. walikuwa NUMBER 10 A. za B. ya C. vya D. kwa NUMBER 11 A. kushindana B. kutazamana C. kukaribiana D. kushikana NUMBER 12 . A. kuipuka B. kuibuka C. kutokea D. kupata NUMBER 13 A. walcirnbiaji B. wanasoka C. mashabiki D. wasafiri NUMBER 14 . A. nyazi B. nyasi C. uamuzi D. kuta NUMBER 15 A. deremo B. nderemo C. ndelemo D. delemo . Jibu swali kinyurne cha neno lenye kistari chini yake. 16.Badala ya kiatabasamu alianza A. kulia B. kucheka C. kununa D. kuruka Ni nini ukubwa wa sentensi hii. 17. Mbwa-mweusi ameangukia mti A. Kijibwa cheusi kimeanguka kijiti. B. Jibwa leusi limeangukia jiti. C. Kijibwa mweusi kimeangulda mti. D. Jibwa jeusi ameangukia jiti. Tumia kivumishi mwafaka kwa kujaza pengo kuliko hitajika? 18.Nilinunua fagio…….. sokoni. A. mbili B. bili C. mbiri D. mabili 19. Umbo hili ni A. kopa B. roho C. duara dufu D. pia 20. Ndugu wa kike wa mama huitwaje? A. Shangazi B. Mjomba C. Halati D. Hau Andika kwa tarakimu. 21.Humusi tatu A. 5/3 B.7/3 C. 3/1 D.3/5 22. Kutokana na jina uashi tutapata kitenzi A. Aka B.Asi C. Ashi D. Mwashi Kanusha sentensi ulivopewa. 23.Mwalimu afundishaye ni mwema. 24. Bainishasentensi inayoonyeshakivumishi kimilikishi A. Gari hili ni jipya B. Nyumbani kwako ni kuzuri. C. Alifurahi bali hakucheka D. Mtoto mtiifu hupendeza 25.Mtu anayebeba mizigo kwa kulipwa huitwaje? A. Kull B. Utingo C. Machenga D. Hamali 26.Ni sentensi ipi iliyoonyesha matumizi ya kwa A. alienda kwa chumba B.alienda kwa shale. C. tulifika kwa wakati. D. walilembea kwa mamake hadi sokoni. Kamilisha methali hii., 27.Ganda la mua la j ana chungu kaona A. chakula B. kivuno C. makazi D. kinywaji 28.Andika ldsawe cha barabara. A. baraste B. ndezi C. wajihi D. chichiri 29. Neno wavu liko katika ngeli ya A. A- WA B. I – ZI C. U – I D. U ZI 30.Silabi moj a katika shairi huitwaje? A. Kibwagizo B. Mtoto C. Mzani D Kina Sonia kifunzu hiki kisha uchazue maiibu sahihi zaidi kuiazia na kwa maswali ulivopewa. Mlango ulibishwa kwa upole mara ya kwanza na ya pili. Mara ya tatu mke akanyanyuka kutaka kwenda kuufungua. Papo hapo mume akamnong’onezea,’Ngojea bibi wee! Ngoj a nifiche chakula hiki mvunguni. Kuku huyu ninavyomtarnani siwezi kumgawia mwingine. Hawa ni hao watu wasiojua desturi wala mila. Vipi wanamwendea mtu nSatm.bani kwake saa hizi za maalculi ya chajio? Bibi hakuyafurahia yaliyosemwa lakini hakuwa na la kufanya ila kutii amri. Baada ya mume kuficha chakula mvungani, bibi akaufungua mlango, mameno yamurnehayakuanguka. Ni maskini aliyekuwa akiomba chakula. Aiiyejibu ni mume. “Sisi watuona tumepakata rnikono hatujaraba riziki hata staftahi hatukuiona, usituzidishe dhiki tulizonazo.” Miaka, kapita. Bibi huyu akashindwa kuvumilia tabia ya mumewe. Mum.e akamtaliki na baada ya rniaka kadhaa akaolewa na murne.Bwana aliyernwoa alikuwa tofauti kabisa na bwana yake wa kwanza. Hata siku moja rnlaa..n_go ukabishwa. Waldku-wa wanataka kula chamcha. Mke akasita kwenda kuufungua malango mume akarnhimiza aende kuufungua mlango. Kumbe ni maskini aliyeomba ahakula. Mke hakujua la kujibu maana yunageni kwa inu huyo wa pill aliyekuwa n aye. Bwana akamwamuru mke ampatie nusu ya chakula chao na kurntilia katika sufuri a. Maskini alishukuru sana na kuwaaga. Punde to alipotoka, mke akaanza kulia. Mume haIal.fizahi kumwona mkewe anababajilawa ice. machozi. “Mbona unalia” rake akasema “yule maskini ni mtalaka wangu. Siku moja alikuja rriaskini kuomba chakula. Akaficha na kunakaripia ajabu. Leo ni yeye anayeomba ukarnpa zaidi ya alichotarajia na maneno matamu jula Mamae akasema. “Na mimi ndiye yule maskini aliyekaripiwa. Niliona surayako ilivyokunjika niIipokaripiwa. Mang’ aliponivaa umaskini nikakutafuta na kukuoa. 31. Waliohusika rai wangapi katika mkasa huu? A.6 B. 3 C. 2 D. 4 32. Mlango ulibishwa mara ngapi? A. 3 B. 2 C. 5 D.4 33. Mume alificha chakula wapi? A. ‘Cabana” B. Chumbani cha kulala C. Chini ya kitanda D. Chini ya meza. 34. Kulinaana na kisa hiki, mume wa, kwanza alikuwa A. rnicarirnu B. mstahirnilivu C. mbishi D. bahili 35. Chajio ni chakula cha A. usiku B. asubuhi C. mchana D. alfajiri 36. Kwa nini mice alisitakuufungua ralango mara ya pill? A. Aliogopanaaakini B. Mume alikuwa na wivu C. Hakujua tabia ya mume wa pili D. Alilcuwa. amechoka 37.Kilichomfanya mke kulia ni nini? A. Maskini kuomba chakula B. Kuona maskini mtalaka wake. C. Maskini alivyovalia. D.. Chakula kupungua. 38. Mke alibubujikwa na machozi A. kwi kwi kwi B. ji C. puku puku D. zi 39.Kwanini mume alimzuia mkewe kuufunguarnlango? A. Hakutakawageni B. Alitaka kuficha chakula kwanza. C. Aiikuwa na chakula kingi D. Alitaka kumaliza chakula kwanza_ 40.Methali mwafaka kwa kisa hiki ni A. usipoziba ufa utajenga ulcuta. B. maskini akipata malcalio hulia mbwata. C. cheza na mwenye mali usicheze na mali D. dunia mwendo wa ngisi 41.Katika aya ya kwanza, mwandishi ameyataj a majangamangapi? A. Sita B. Saba C. Matano D. Manne 42.Kulingana na kifungu, mbali na maradhi watoto wachanga aidha wanatishwa na A. ukimwi B. dawa za kulevya C. ukosefu wa chakula D. wizi 43.Ni rnaeiezo yapi sahihi. A. UgonjWa wa malaria huwakumba watoto pekee. B. Vijana wetu wametupilia mbali ouvu wa ngono. C. Kifaduro ni uwele uwatishao watoto. D. Mengi ya maradhi yanadidimia. 44.Kwa mujibu wa mwandishi, uhaba wa ajiraunaweza kuzua matokeo yapi? A. natal B. Kuimarika kwa uchumi C. Gharama ya maisha kupanda D. Hutujaelezwa 45.Kwa mujibu wa mwandishi, saratani ya ngozi inasababishwa na A. lishe bora B. mitaa ya mabanda C. uchafuzi wa mazingira D. manukato yenye kemikali hatari. 46. Je, unadhani hali ya mambo inayoelezwa hupatikana wapi? A. Nchi zilizoendelea. B. Ni vigumu kujua. C. Katika mataifa yote duniani. D. Ulimwengu wa tatu. 47.Kulingana na kifungu, ni takriban kiasi kipi cha wakazi wa mjini hakiishi katika mitaa ya mabanda? A. Asilimia sabini B. Ushuri tatu C. Asilimia kubwa D. Sudusi 48.Ni bayana kuwa uharibifu wa mazingira utasababisha? A. Kuzuka kwa maradhi kama vile ukimwi. B. Kuangamia kwa viumbe mbalimbali C. Kuongezeka kwa viwanda. D. Kupunguka kwa kiwango kati ya wakwasi na walalahoi. 49.Kulingana na taarifa, ni kipi kiini cha matatizo yote yaliyozungumziwa? A. Ugumu wa maisha. B. Mazingira C. Matendo ya binadanni D. Umaskini 50.Ni sahihi kusema kuwa A. Mwandishi ni mkwasi B. tamaa ya mwandishi ya kushuhudia maisha bora imetamauka. C. Vijana wana fursa na satua ya kuboresha mambo . D. Binadamu hana uwezo wa kuyatatua matatizo yanayozungumziwa. Loading … Question 1 of 50