Please enter your email:

Soma kifungu hiki na ujaze mapenko 1-15 kwa majibu vanayofaa:-

I          asubuhi na mapema. Siku            2_ tu.likuwa tukienda sokoni kunua vitu. Soko              3          lilikuwa kubwa sana. Tuliingia garini na kulipa            4          ya kusafiria. Mikononi tillibeba vyondo vya _5                   bidhaa zetu. Dereva        6          gari nalo         7       na kung’oa          8          huku likiacha wingu la moshi nyuma. Tulifika sokoni salama        9         .Wauzaji waliwakaribisha             10         wao kwa heshima na kuwahimiza wanunue kwa wingi.

Sisi _11 _           tulinunua nafaka na matunda.Tunda             12          lilikuwa kubwa mpaka likawashangaza watu wote. Tulimaliza pesa            13       mpaka ikatulazimu kurudi            14-_ miguu.Safari ilikuwa            15          lakini tulifaulu.

 

1.MAJIBU 

 
 
 
 

2.SWALI 2.

 
 
 
 

 3.SWALI 3

 

 
 
 
 

4.SWALI 4.

 
 
 
 

5.SWALI 5.

 
 
 
 

6.SWALI 6

 
 
 
 

7.SWALI 7.

 
 
 
 

8.SWALI 8

 
 
 
 

9.SWALI 9

 
 
 
 

10.SWALI 10.

 
 
 
 

11.SWALI 11.

 
 
 
 

12.SWALI 12

 
 
 
 

13.SWALI 13

 
 
 
 

14.SWALI 14.

 
 
 
 

15.SWALI 15.

 
 
 
 

Fuata maagizo kujibu maswali nambari 16-30         

kwa usahihi      

16.    Nikimsalimu mjomba’` shikamoo mjomba

atajibu

 

 
 
 
 

17.

Andika wingi wa sentensi ifuatavo

 Nguo yangu inavutia

 
 
 
 

18.

Kamilisha sentensi ifuatavo kwa usahihi

Chakula               kina viungo huwa kila mtu.

 
 
 
 

19.

Katika bendera yetu ya Kenya, ni rangi gani

inayopatikana katika sehemu ya juu zaidi?

 
 
 
 

20.

Tumia kiashiria sahihi kukamilisha sentensi

hii

Viatu             vinapendeza.

 
 
 
 

21.

Kiungo cha mwili kinachosafisha damu

huitwa

 
 
 
 

22.Neno `pua’ lipo katika ngeli gani?

 
 
 
 

23.

Vazi la wanawake ambalo hushikilia maziwa

huitwaje?

 
 
 
 

24.

Mnyama wa porini’anayefanana na ng’ombe

anaitwa

 
 
 
 

25.  Andika kinyume cha `mfalme’

 
 
 
 

26.  Kanusha :

Sisi hula asubuhi

 
 
 
 

27.

Sehemu ya nyuma katika mguu huitwa?

 
 
 
 

28.

Chagua neno lililoandikwa kwa usahihi

kumaanisha ‘Gan la rnizigo’

 
 
 
 

29.Kombe ni makao ya kiumbe kipi?

 
 
 
 

Question 1 of 29