Please enter your email: Jaza nafasi wazi Mlango…1..mwalimu…2…Kiswahili…3…alikuwa wa…4…kuingia katika darasa…5…la tano. Kipindi….6…asubuhi kilikuwa….7… . Alitusabahi kama..8.. desturi…9… Baada ya shughuli ndogo ndogo za hapa na pale…10…darasani, alianza kutuelezea …11… kuandika hati safi …12… darasani,…13… pia maishani…14… . Kisha alituita…15…ubaoni tukaandika neno HATT. NUMBARI 1. A.ulipofunguliwa B. ulipofungwa C.ulipomfugulia D. ulimfuguliwa 2. A. ya B. wa C. cha D. kwa 3. A. ndio B. ndiyo C. ndiye D. ndivyo 4. A. kuanza B. kwanza C. kuwanza D. kwenda 5. A. yetu B..mwetu C. kwetu D. letu 6. A.kile cha B. ile ya C. hiyo ya D. hii ya 7. A. yake B. chake C. lake D. wake 8. A. aliyokuwa B. lilivyokuwa C. ilikuwa D. ilivyokuwa 9. A. yetu B. kwake C. yake D. wetu 10. A. ule B. Tile C. zile D. mle 11. . A. jinsi ya B. hall ya C. vile ya D. ukweli wa 12. A. siko tu B. siyo tu C. sio tu D. sivyo tu 13. . A. mbali B. pale C. bali D. vile 14. . A. yetu B. mwetu C. zetu D. wetu 15. . A. moja B. mthoja C. mojawapo D. mmoja mmoja Chagua jibu sahihi 16. “Sango hatakuja.” Sentensi hii ni ya wakati upi? A. Ujao B. Uliopita C. Uliopo D. Usiojulikana 17. Mwalimu alituletea habari A. njema B. mwema C. jema D. chema 18. Mkutano ulihudhuriwa na watu wengi sana. Yaani wake…… wanaume. A. kwa B. na C. pa D. pamoja 19. Tumia alama sahihi ya uakifisho. “Kumbe Juma ni mwizi A. (?) . B. (!) C. (“) D. (.) 20. Tumia Iciashiria kisisitizi kujaza pengo.”Nyavu……. hizo ndizo zangu.” A. hizo B. hizi C. zizi D. zizo 21. Bonde la ufa: kwa wingi A. Bonde za ufa B. Mabonde ya nyufa C. Mabonde za nyufa D. Mabonde ya ufa 22. kifupi zaidi huitwambilikimo. A. Mtu B. Kamtu C. Kimtu D. Kijitu 23. Utiriri, kereng’ ende, kiroboto na mavu kwa jina mojani A. wanyama B. wadudu C. matunda D. nyuni 24. Watu walitoka uwanjani A. mmoja mmoj a B. moja moja C. mmoja kwa mmoja D. kimoja kimoja 25. Vitabu vyetu……. nyumbani. A. vi B.zi C. yu D. ki Tumia “amba” kukamilisha sentensi zifuatazo. 26. Mkeka……. umenunuliwa ni mzuri. A. ambao B. ambazo C. ambaye D. ambayo 27. Kuku…… walikufa ni wa babu. A. ambazo B. ambacho C. ambako D. ambao 28. Kuta….. zimebomoka zitarekebishwa A. ambazo B. ambayo C. ambayo D. ambako 29. Kuimba…… nilikusikia ni kuzuri A. ambaye B. ambao C. ambazo D. ambako 30. Mambo……… tunayasikia ni mabaya. A. ambazo B. ambao C. ambayo D. ambaye Soma habari hii kisha u’ibu maswali 31-40. Vidinbwi vya wilaya vimebaki kama visiwa na wakazi wote hawawezi kuondoka kwenda mahali popote kwa sababu ya kuzingirwa na mafuriko. Tangu mvua kubwa ianze kunyesha sehemu zote, wananchi hawajapokea misaada yoyote ya usafiri, vyakula wala dawa za kujikinga na kujitibu kutokana na magonjwa kama vile kichocho, malaria, homy ya matumbo na kuhara. Kwa muda mrefu sana mvua kubwa imekuwa ikinyesha katika magatuzi yote ya nchi yetu.Kulingana na maelezo ya wataalam wa hali ya mazingira, rnafuriko hay° yam.esababishwa na hatari za icuharibu mazingira kote nchini. Watu wanakata miti ovyo ovyo na kulima kila sehemu. Hawajui kwamba mizizi ya niiti hiyo ndiyo inayoshikilia udongo na kuzuia mmomonyoko. Pia watu wengine wanalima hadi kando kando ya mito na kusababisha kuwapo kwa udongo laini karibu na kingo za into.Tatizo jingine ni kujenga kila mahali bila kuyajali mazingira. Wakati umefika ambapo lazima tuyatunze mazingira vizuri la sivyo, majanga yatakuwa mengi. Na jangani jangamizi huangamiza. 31.” vimebaki kama visiwa kwa sababu?” A. ya kuzungukwa na mafuriko B. wakazi hawawezi kutoka C. hawajapokea misaada D. hakuna dawa 32. Tangu mvua ianze kunyesha A. wakazi wamekata miti B. magonjwa yamezidi C. hakuna magonjwa D. wataalam wamekuj a 33. Mvua kubwa imekuwa ikinyesha kwenye A. baadhi za wilaya B. vini vingine C. kila gatuzi D. sehemu fulani za nchi 34. Wataalarn wa mazingira wanasema A. mafuriko ni hatari B. watu wanakata miti C. mvua itazidi D. uharibifu wa mazingira ni hatari 35. Mizizi ya miti A. husaidia kushikilia udongo usimomonyoke B. husababisha mafuriko karibu na mita C. husababisha udongo kuwa laini D. ni dawa ya tumbo 36. Tunaambiwa kwamba watu wengine wanalima A. kwenye mito B. Karibu sana na mito C. mazingira ya mto D. kutoa mizizi 37. Tuyatunze mazingira iii A. tujenge mbali namto B. kuzuia udongo usimomonyoke C. kuleta janga la mafuriko D. tusilime 38. Mara nyingi mafuriko hutokea nyakati za A. masika B. kiangazi C. vuli D. kipupwe 39. Katika taarifa hii neno “wakazi” lina maana ya watu ambao A. ni wafanyakazi B. wana kazi C. ni wenyeji D.ni wa kazi 40. Taarifa hii ni kuhusu janga la . A. mazingira B. mafuriko C. miti D. magonjwa Soma kisa kifuatacho kisha uiibu maswall 41-50. Ulevi una vituko vyake. Sugu na Sungu walikuwa na mazoea ya kunywa pombe pamoja. Sugu alikuwa mlevi kuliko Sungu. Lakini ulevi ni ulevi tu hates ukinywa kidogo wewe ni mlevi tu. Siku moja Sungu alikunywa pombe yake akamaliza. Akasema, “Rafild yangu Sugu, rnimi ninaenda nyumbani, watoto wangu wapo nyumbani wamefunga shule. Naenda nikakae nao iii tuongee!” Aliondoka saa mbili usiku. Alipokuwa akienda alipitia kwenye kichochoro cha kvtikati ya mahali penye makaburi. Bahati mbaya Sungu aliteleza akatumbukia ndani ya kaburi lililokuwa wazi. Lilichimbwa iii kumzikia maiti kesho yake. Alipojaribu kutoka alishindwa. Ujanja ukaisha na ulevi ukatoweka..Usiku saa taro, Sugu naye alianza mwendo kuelekea nyumbani. Usiku saa tano, Sugu naye alianza mwendo kuelekea nyumbani. Alilewa, alipitia kichochoro cha makaburi akiimba nyimbo za ulevi. Kufika pale penye kaburi wazi, alitumbukia ndani kwa kishindo. “Kub!” Alishtuka sana aliporawangukiamtu maiti labda. Pombe ikamtoka alcilini. Alijaribu kutoka iii asikae na maiti yule, lakini alishindwa. Akasikia sauti ikisema, “Usijisumbue ndugu yangu, hata mimi nimeshindwa kutoka. Mimi na wewe leo sore tu. maiti! “ 41. Sugu na Sungu walizoea A. kulewa sana B. kuuza pombe C. kunywa pombe gengeni D. kutembea pamoj a 42. Siku moja Sungu A. alilewa sana akaanguka B. alibaki gengeni C. alirudi nyumbani mapema D. alimwacha Sugu gengeni 43. Ni watoto gani waliofunga shule? A. Watoto wa Sungu B. Watoto wa Sugu C. Watoto wa gengeni D. Watoto walevi 44. Sungu aliondoka gengeni saa mbili iii aende wapi? A. Makaburini B. Kichochoroni C. Kwa maiti D. Kuongea na watoto wake 45. Sungu alipoteleza na kutumbukia kaburini A. alishindwa kutoka B. alipata maiti C. alimngojea sugu D. alilewa sana 46. Kaburi lililokuwa wazi lilikuwa la kumzikia A. Sugu B. Sungu C. maiti D. mlevi 47. Kwa nini Sugu alishtuka alipotumbukia kaburini? A. Alimkuta maiti B. Alijua inamwangukia maiti C. Alimwona Sungu D. Alilewa sana 48. Sauti ambayo Sugu aliisikia kaburini ilikuwaya A. Sungu B. Maiti C. Shetani D. Mlevi 49. Mwishowe kwa maoni yako, unadhani vipi? A. Walevi na maiti wbte ni sawa B. Maiti na walevi wote Wanapendana C. Sugu na Sungu wote walilalakaburini usiku kucha D. Walevi wote wawili walitoka kaburini usiku huo huo 50. Kichwa kisichofaa habari hii ni A. Vituko vya walevi B. Kaburi la walevi C. Walevi na maiti D. Ulevi ni hatari Loading … Question 1 of 50