Please enter your email: Kila nafasi 1:15. Kwa kilo nafasi umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaao kati ya yale ulivopewa. …1…kuridhisha kwa…2…mpya, waliozoea kula vya bure na…3…mali ya umrna wameanza kujipata…4…Maafisa…5…wamefikishwa mahakamani au…6…kufunguliwa…7… . Si ajabu kumpata mmoja wao a.k dal kuwa…8…lake linalengwa nakina Muigai.Wanaopenda kuhepa…9…mrefu wa sheria wajue kuwa …10…ki motoni. Mwenzako akinyolewa …11…tia maji. Elimu…12… . …13… rnkubwa mzazi anaweza kumwachia …14…. Nasi wana tunapaswa…15… tufaidike somoni. NUMBER 1. A. badala B. kati ya C. kabla D. baada NUMBER 2. A. ratiba B. serikali C. katiba D. rais NUMBER 3. A. kuvuja B. kufuja C. kuvunj a D. kufiinja NUMBER 4. A. mashakani B. mastaka C. mashtaka D. miango NUMBER 5. A. wafisadi B. wema C. wakorofi D. wachanga NUMBER 6. A. shuleni B. kortini C. hospitalini D. kotini NUMBER 7. A. washtaka B. mastaka C. mashtaka D. mashitaka NUMBER 8. A. watoto B. nyumba C. familia D. kabila NUMBER 9. A. moto B. mguu C. Mkono D. mtu NUMBER 10. . A. chama B. chadalua chao C. chumba chao D. chuma NUMBER 11. A. chako B. chenu C. chetu D. chao NUMBER 12. . A. ndiyo B. ndio C. ndivyo D. ndicho NUMBER 13. A. uriidhi B. uriithi C. uridhi D: uridi NUMBER 14. A. mwanao B. mwanake C. rnwanawe D. mwanaye NUMBER 15. A. kutoa bidii B. kutia bidii C. kuweka budi D. kufanya Kutoka swali la 16 chagua lipi sahihi. 16. Ng’ ombe ni kwa zizi,…………. ni kwa ndege A. nvurnba B. kiota C. mti D. utando 17.Meno hushikiliwa na nyama zinazoitwa A. shavuu B . shavu C. koo . D. ufizi 18. Chagua sentensi ambayo ni sanifu. A. Mali yake yote yaliibiwa. B. retake huyo wote utaliwa C. Gari ile ni ya kaka. D. Chungwa lake limeliwa Andika kinyume cha:- 19. Saibu amemfuta kapera, A. Ajuza amemwajiri mwanamwali B. Ajuza aniemfuta kapera C. Ajuza amemwajiri mwanamwali D. Ajuza arnemfata mwanamwali 20. Maziwa, mate, machozi na maji yako katika ngeli ya A. YA-YA B. U-YA C. I-Zi D. LI-YA Tegua kitendawili 21.Afahamu kuchora lakini hajui achoracho ni A. nyoka B. konokono C. kobe D. mjuzi Chagua kiashirishi kisisitizi katika sentensi hii 22.Mwalimu alitumia kitabu kiki hiki. A. kiki hiki B. kitabu C. mwalimu D. alitumia 23. Ni kihusishi kipi cha “katika” kinachomaanisha ndani ya? A. Alienda katika msitu B. Mto u katika msitu C. Vitabu vyote vimewekwa katika mfako huu D. Kijiko ki katika meza 24. Chagua nomino katika sentensi ifuatayo Aliingia nyumbani na akawasha Moto A. nyumbani B. na C. moto D. akawasha 25.Haraka haraka haina A. uzembe B. tarnaa C. hasara D. baraka 26.Kisawe cha neno ndoto ni:- A. ota B. njozi C. ono D. usingizi 27. Mtu anayewakilisha nchi yake katika nchi ingine huitwa A. balozi B. mlowezi C. kibaraka D. jasusi 28. Ni sentensi ipi iliyo sahihi kisarufi. A. Embe hii imeoza B. embe huyu imeoza C. embe hiyo imeoza D. embe hili limeoza 29. Mkate ulipoliwa Juma………….. aiikuwa. A. ndiye mwenyewe B. ndiwe ambaye C. ndiye ambaye D. ndiyo ambayo 30. Jaza pengo kwa Chai tuta…….. pika sisi. A. ya B. i C. ki D. u Soma habari kasha jibu maswali 31-40. Wanafunzi hujikuta katika udhia punde tu wapatapo matokeo yao ya mtihani ‘a mwisho wa mwaka. Hii inatokana na kushindwa kuzoa alarna walizokuwa wametazanaia. Alama zenyewe hukosekana mara tu mwanafunzi anapoanza kupuuza somo Fulani. Kuseliia kweli, lazima mwanafunzi afaulu katika kila somo kumwezesha kupasi masomoni. Somo ambalo huwavuj a moyo baadhi ya wanafunzi ni somo la uraia na ndini. Wanafunzi wapaswa kueiewp.,kuwa nclilo soma ambalo hufanya kupasi kuwe nad,ra iwapo hawatajitolea aalj na uvuxnba. Yainpasa wanafun zi awe na nia madhumunit ya some lolote alisomalo: Isitoshe, mwanafunzi huenda akafeli kwa kutokuwa rrn-vad ilifu. Some la Kiswandi hukumbwa sana na tatizo la mwanafunzi kushindwa kusoma na kuelev aai tatizo kubwa ni ugonj wa wa uzembe na tmoigoiwa kutohimiza moyo uwe na tabia na •azoea ya us ol-na WanaPanzi wapaswa kutembelea maktaba za shule zao mara kwa mara. Katika some is Kiswahili, wanafunzi wapaswa kuvisoma vitabu vya mashairi vitakavyowav, ezesha kuamsha uwezo wao wa kufikilia na kwa kufanya hi o, wataweza kuzoaalarna watazamiazo. kwan i m t aka cha mvunguni i sharti ainame. 31. Kulingana na taarifa, wanafunzi wengi hujikuta katika udhia.Nini maana ya udhia? A. Nia B. Furaha C. Usumbufu D. Lengo 32. Kwa nini wanafunzi wengi hushindwa tom. kuzoa walizokuwa wametazamia? A. Kutia bidii katika baadhi ya somo B. Kupuuza baadhi ya some C. Kukosa vitabu katika maktaba D. Kupunguka kwa walimu 33. Kitu gani ambacho huwavunja wanafunzi wengi moyo? A. Matokeo enema B. Udhia C. Some la Kiswahili D. Somo la ndini na uraia 34. Mwanafunzi apaswa kujitolea kwa udi na uvumba. Userni huu unarnaanisha nini? A. Kujitolea juu chini B. Kujitolea vumbini C. Kujitoa fumbi D. Kujitoa vumbi 35. Kisawe cha neno madhumuni kama lilivyotumika ni:- A. Pesa B. Lengo C. Dohani D. Madharau 36. Kulingana na ufahamu, ni tatizo lipi kubwa linalokumba somo la Kiswahili? A. Kushindwa na kusoma B. Kujitolea kwa udi na uvumba C. Ugonjwa wa uzembe na uvumba D. Kufeli 37. Kumwezesha mwanafunzi kupasi. apaswa kutembelea:- A. wanafunzi B. mwalimu C. shule D. maktaba mara kwa mara 38. Vitabu vya mashairi viva manufaa yapi kwa mwanafunzi kulingana na taarifa? A. Huamsha uwezo wa kufikilia B. Humsaidia katika utunzi wa nyimbo C. Huchekesha „ D. Maswali meAgi hutolewa kwenye shairi 39. Methali”Mtalca cha ravunguni sharti ainame” imetumika kaitka taarifa. Taja methali nyingine yenye maana sawn. A. Mwenda tezi na omo marejeleo ni ngamani B. Haraka haraka haina baraka C. Achanikaye kwenye mpini hafl njaa D. Nyoko nyoko ni shibe ya kuonana 40. Kwa ujumla, taarifa hii inatuhimiza:- A. Tutilie maanani some is Kiswahili B. Tutie bidii katika kila somo iii tupasi C. Umuhimu wa mwanafunzi shuleni D. Umunimu wa somo la hisabati soma habari ifuatavo kisha riiibu maswali 41-50. Siku ilikucha vibaya kwa mvua..ngurumo na makelele ya umeme. Kwa half hii, kila rnahluki alilazimika kuenda kulala awali ya saa ya kawaida. Mmuliko mmoja ulipenya nyurnbani mwangu, mkawa rnweupe kama kwamba na ya umeme. Dakika ile ile nilisikia mnazi ulioko uani ukianguka na mbele barazani kitu kili chunga chunga na kuchacharika. Nilituhumu kwamba kitu hicho kilikuwa kikibari mvua. Dhana zangu ziliniambia kuwa ni nyarnaume mawindoni. Basi nilijifunika gubigubi na kulala fofofo. Asub u hi yake kulikuwa shwali na kutulivu. Nalo jua lilikuwa kali licha ya kuwa saa mbili na nusu nil ipo amka. Nilipofungua mlango niliona nyama kubwa imening’ inia mlangoni. Pale pale nilifunga mlango kwa hofu na kuduwaa. Nilidhani ni simba kama nilivyokisia jana usiku. Halafu nikafafanua jinsi niliNyomwona tena, nikaktimbuka nilimwonaakiwa na hatamu na saruji. Nikajua kwamba hakuwa sirnba ila binadamu. Nikafungua mlango tena na mnyama huyo akanilaki kwa huzuni. Kisha nikaona macho yake katika mauti. Kwa kuwa nilikuwa karibu na barabara, msafiri huyo alikuwa akitaka kujikinga mvua alipogongwa na radi. Ana kweli yake ilikuwa bahati mbaya kwa kupata mauti yake. 41. Kwa nini watu walienda kulala mapema? A. Waliogopa mahuluki B. Kulikuwa na vita nje C. Waliogopa ya anga iliyotokana na mvua D. Waliogopa kuvamiwa na majangili 42. Mvua, ngurumo na makelele ya umeme yalitokea wakati gani? A. Wakati wa usiku mchanga B. Wakati wa asubuhi C. Wakati wa alfajiri D. Wakati wa jioni 43. Mmuliko uliopenya nyurnbani mwa msemaji ulikuwa wa A. taa B. majambazi C. askari wa kulinda amani D. mweso wa umeme 44. Ni kitu gani kilichoanguka? A. Nillango B. Mnazi C. Mtu D. Simba 45. Mnyama aliyekuwa barazani pa msemaji alikuwa A. maiti B. simba C. farasi D. sungura 46. Msemaji alilala fofofo kwa sababu A. kuogopa askari B. kuogopa mvua C. kuogopa mnyama D. alishikwa na wasiwasi 47. Ni nini ilimwambia kuna mnyama? A. Mtu B. Dhana zake C. Mpita njia D. Ndoto zake 48. Maiti iliyoonekana pale uani ilikuwa ya nini? A. Simba B. Askari C. Msafiri D. Mwizi 49. Kwa nini msemaji alifunga mlango kwa hofu? A. Alioana simba B. Aliona nyama kubwa C. Aliona wezi D. Aliona mwangaza 50. Kichwa kizuri cha habari hii ni A. Ndoto usiku B. Mnyama mkali C. Msafiri D. Usiku wa kutisha Loading … Question 1 of 50