STD 4 KISWAHILI TEST1

Please enter your email:

Jaza mianya kwa majibu sahihi kwa swali 1-15.

Kuku ——1—– mayai  —–2 ——sana. Mayai hayo yaliwekwa kwenye choto kisha —-3—-kwa muda wa —–4—— matatu hivi kisha —5—- vifaranga  —6—- walikuwa na rangi tofauti.  Kuku alilinda vifaranga  —-7—– wasiliwe na —-8—– Siku —-9—– kuku aliwaficha vifaranga kwenye mbawa   —–10—— . Mwewe naye alifanya ujanja na kuangusha punje  —–11—- mahindi karibu.  Kuku  —–12—–  na kuangukia kwenye mlo wake.  Kuku huyo  ——-13—– mahindi kwa furaha bila kufahamu ujanja wa mwewe.  Mwewe aliwavaMia vifaranga na kumchukua —–14——-. Kuku alimlilia kifaranga wake lakini kilio si —–15—.

MAJIBU

1.

 
 
 
 

2.

 
 
 
 

3.

 
 
 
 

4.

 
 
 
 

5.

 
 
 
 

6.

 
 
 
 

7.

 
 
 
 

8.

 
 
 
 

9.

 
 
 
 

10.

 
 
 
 

11.

 
 
 
 

12.

 
 
 
 

13.

 
 
 
 

14.

 
 
 
 

15.

 
 
 
 

Jibu maswali nambari 16  – 30 kwa  ukifuata maagizo yaliyotolewa.

16. Andika sentensi hii katika wingi; 

  Ubao utavunjika

 

 
 
 
 

17. Kanusha;  Sisi hula asubuhi.

 
 
 
 

18. Alinunua kalamu wino ———– mwekundu.

 
 
 
 

19. Chagua kiulizi sahihi;

Amefungua mlango kwa ufunguo

 
 
 
 

20. Daktari huitwa tabibu au

 
 
 
 

21. Chagua kiambishi sahihi.

Chungu   –ko mekoni.

 
 
 
 

22. Jaza pengo;

Wayo ni kwa mwanadamu, ————-  ni kwa ng’ombe.

 
 
 
 

23. Kamilisha methali ifuatayo.

Baada ya kisa ni ——-.

 
 
 
 

24. Jina `dawati’ liko katika ngeli gani?

 
 
 
 

26. .  Tegua kitendawili kifuatacho

Nyumba ya baba Ma wageni wengi.

 
 
 
 

27. Tunaliitaje jiko la makaa?

 
 
 
 

28. Mtu asiyeweza kusikia huitwaje?

 
 
 
 

29. Kinda ni mtoto wa ———-

 
 
 
 

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali 31 – 40.

Hapo zarnani wanyama walikuwa wakishiriki katika michezo mbalimbali mara moja kwa mwaka.  Wakati huu wa michezo, kila mnyama, ndege na hata samaki walikuwa
wanaalikwa na mfalme tembo.

Wanyama hawa walikuwa wanashiriki katika michezo mbalimbali kama vile

kushindana mbio, kuogelea, kupigana ngumi na mateke na michezo mingineyo.

Pundamilia alikuwa anashinda kila mara katika mchezo wa kupigana mateke.  Mbuni naye alikuwa akishindana mbio zote.  Rekodi ya papa katika kuogelea iliwashinda wengi kuivunja.

Kila mwaka, rnheshimiwa kinyonga alikuwa akialikwa kuja kushabikia mchezo wake wa kupigana ngumi na mateke. Alikuwa akiupenda kama chanda na pete.  Katika mchezo huu, kinyonga alipata maarifa rnengi hasa siku ile.  Pundamilia alimshinda simba kwa kumpiga teke lililomuumiza.

Michezo ilipofika kikomo saa kumi na moja siku hiyo, washindi wakatangazwa na

katibu bwana Ngiri na kutuzwa zawadi kochokocho.

MASWALI

31. Wanyama walikuwa wakifanya michezo mara ngapi kwa mwaka?

 
 
 
 

32. Kulingana na taarifa ni mchezo upi ambao haukupendwa na wanyam? 

 
 
 
 

33. Ni nani aliyekuwa mshindi katika mchezo wa kupigana mateke?

 
 
 
 

34. Kulingana na hadithi, makao yake papa ni wapi?

 
 
 
 

35. Ni wakati gani katika michezo ambao kinyonga alipata maarifa mengi?

 
 
 
 

36.Mbuni alipokea zawadi kwa kushinda mchezo upi?

 
 
 
 

37. Neno `kochokocho’ limetumika katika  ufahamu.  Neno hii lina maana ya

 
 
 
 

38. Ni nani aliyekuwa katibu wa mchezo mwaka huo?

 
 
 
 

39. Neno lenye maana sawa na ‘tembo’ ni

 
 
 
 

40. Kichwa mwafaka cha hadithi hii ni

 
 
 
 

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali 41 – 50.

Nyoteyo ni msichana mwenye umri wa miaka kumi na miwili. Ana bidii sana masomoni, hates wanafunzi wanzake humwita `nyota’. Nyoteyo hana wazazi, yeye ni yatima.  Yeye ni mwanafunzi katika shule ya msngi ya Naelewa.  Wazazi wake waliaga dunia walipovamiwa na wezi nyumbani kwao miaka mitatu iliyopita.  Yeye huishi na mjomba wake.Nyoteyo hupenda rafiki safe. Hapendi kukaa na watoto wachoyo, wachafu,

wanaonuka kama beberu, wezi na wasiofanya kazi za walimu.  Hupenda kusoma vitabu vingi vya kiswahili na hadithi nzuri. Yeye husema kuwa akimaliza masomo yake
angependa kuwa mhubiri iii awahubirie watu amani. Jambo hili ni tofauti na mahitaji ya wenzake.

Kwa kweli hapendi vita. Yeye ni mpole kama mwanakondoo.  Huwauliza walimu wake maswali katika masomo yake.  Sasa Nyoteyo ndiye kiranja wa darasa lake la tano.
Alichaguliwa na mwalimu wake Bwana Furaha kwa sababu ya tabia zake za kuwapendeza wengi.  Ni wangapi wangetamani kuwa na tabia kama za Nyoteyo?

MASWALI:

41. Nyoteyo alikuwa na miaka mingapi wazazi wake walipokufa?

 
 
 
 

42. Ni akina nani waliowaua wazazi wa Nyoteyo?

 
 
 
 

43. Nyoteyo hapendi

 
 
 
 

44. Kulingana na hadithi hii ni kweli kuwa

 
 
 
 

45. Nyoteyo ni mpole kama

 
 
 
 

46. Tunamaanisha nini tunaposema  kuwa ” Nyoteyo ni yatima”

 
 
 
 

47. Nyoteyo anatamani kuwa nani atakamaliza masomo yake?

 
 
 
 

48. Nani aliyemchagua Nyoteyo kuwa kiongozi wa darasa lake ?

 
 
 
 

49. Nyoteyo alikuwa akiishi kwa —————— wake

 
 
 
 

50. Hadithi hii inatufundisha nini?

 
 
 
 

Question 1 of 48