Please enter your email:

Soma kifungu kifuatacho kisha uiaze nafasi 1-15.

Mvua ilipoanza…1…,…2… walikuwa barabarani mjini. Ikabidi baba na
mjukuu ..3… kutafuta mahali karibu na maduka…4…na mvua. Waliona watu
wengine wakitimua ..5…muda to mvua ilipoteremsha..6…zake kwenye uso..7…. Kilichowashangaza ni kuwa watu hao waliogopa ..8…lakini hakuwaogopa kugongwa na…9… “Babu, kwa nini wale wanawake wamejifunika karatasi…10…nailoni”.Mjukuu
ilimtoka. “Mbona hiki ni ..11… !””Wewe unafikiria wataziacha nywele ..12…ziingie maji bure…13….na wamemwaga mamia ya pesa..14… saluni?” Babu alimtegulia kitendawili…15… .
1.

 
 
 
 

2.

 
 
 
 

3.

 
 
 
 

4.

 
 
 
 

5.

 
 
 
 

6.

 
 
 
 

7.

 
 
 
 

8.

 
 
 
 

9.

 
 
 
 

10.

 
 
 
 

11.

 
 
 
 

12.

 
 
 
 

13.

 
 
 
 

14.

 
 
 
 

15.

 
 
 
 

16. 2/5 ni sawa na

 
 
 
 

17. Kamilishasemi hii;
Aliponea chupu…………. katika
ajali hiyo.

 
 
 
 

18. Yeye anaringa kama

 
 
 
 

19. Maneno kama kalamu, chupa na dawa yapo katika ngeli ya

 
 
 
 

20. Katika kusafiri kwenye basi watu hulipa

 
 
 
 

21. Tumia alama sahihi ya uakifisho.”Kumbe Maria a_mefika

 
 
 
 

22. Wingi wa “kifaranga wangu” ni

 
 
 
 

23. Ni ala ipi arnbayo si ya muziki?

 
 
 
 

24. Andika sentensi hii kwa udogo.Mji wetu ni mdogo sana.

 
 
 
 

25. Kanusha sentensi ifuatayo.”Abdi anakula chakula”.

 
 
 
 

26. Kutokana na jina rmsomaji’ tunapata kitenzi

 
 
 
 

27. Tumia kivumishi `-enye’ vizuri.Shamba rutuba lina mavuno.

 
 
 
 

28. Tunasema barsza la wazee, jozi la viatu na kicha cha

 
 
 
 

29.Nini maana ya;Eli ni sungura

 
 
 
 

30. Mmea wa mgomba huzaa

 
 
 
 

Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali 31 – 40.
Siku iliyofuatia ya klabu, rafiki yangu nami tulikuwa tunatayarisha shamba la
nbeg-u. Tulifanya shamba hilo ndogo la mbegu kuinukia kwa kuinua mchanga, kama vile Bw. Odhis alivyokuwa arnetuonyesha mwaka uliopita. Ayaga, Kageha na mimi
ulitayarisha shamba moja na wengine wa kikundi hicho wakichota nyasi zilizokauka.
cisha tulinyunyizia maji shamba na kuvuna mbegu zetu. Tulivuna mbegu za nyanya, kabeji na karoti katika shamba tofauti. Baadaye tulifunika vijishamL, hivyo kwa nyasi zilizokauka na kumwaga maji mengi juu ya nyasi hizo. Mbegu hizo hazikuwa lazima zinyunyiziwe maji kwa siku kadhaa.

31. Ilikuwa ni siku gani kwa wanafunzi?

 
 
 
 

32. Siku arnbayo walikuwa wanajitayarisha kwa siku hiyo, hutokea mara ngapi katika maoni
yako mwenyewe?

 
 
 
 

33. Ni vishamba vingapi vidogo vilitayarishwa?
 

 
 
 
 

34. Hizi zote zilivunwa isipokuwa

 
 
 
 

35. Wanafunzi ambao hawakutayarisha vijishamba

 
 
 
 

36.Ni kweli kusema

 
 
 
 

37. Wanafunzi walitengeneza vijishamba ambavyo vilikuwa vimeinukia kwa

 

 
 
 
 

38. Nani waliotayarisha vijishamba?

 
 
 
 

39. Mbegu zilivunwa

 
 
 
 

40. Nyasi zilizokusanywa zilikuwa za

 
 
 
 

Soma habari ifuatayo kisha ujibu maswali 41 – 50.
Bwana Pombe anaishi katika kijkp. cha Mamboleo. Alipokuwa mtoto mdogo alipendwa sana na wazazi wake. Alikuwa na tabia nzuri sana. Lakini alipofi.ka darasa la pill. alianza •kuwa mtoto mbaya sana. Alianza kuonjaonja sigara na kushiriki ulevi.
Bwana Pombe aliendelea na tabia hizo mbaya hadi akazoea na kuwa mlevi chakari-wa kila siku. Alikatazwa lakini hakusikia. Alikataa kuendelea na masomo. Siku hizi Bwana Pombe anateseka sana, hana makazi, hana pesa zozote za kugaramia mahitaji yake.
Anatamani kurudi shuleni lakini hawezi kukubaliwa kwani tabia zake ni potovu. Yeye huishi rasa “ningalijua singalianza tabia mbovu. Kumbe elimu ni kitu kizuri! Maskini ningalijua!”

41. Bwana Pombe anaishi katika

 
 
 
 

42.   Ni lini alivyoanza tabia mbaya?

 
 
 
 

43.   Ni ipi kati ya hizi tabia hakushiriki?

 
 
 
 

44. Ni shida gani kubwa hasa ambayo imempata Bwana Pombe?

 
 
 
 

45.   Ni nini kinyume cha neno `shida’?

 
 
 
 

46.         Hadithi hii inatufunza

 
 
 
 

47.         Kuwa na tabia potovu ni

 
 
 
 

48. Neno `chakari’ limetumika katika habari hii linamaanisha

 
 
 
 

49.Kwa nini Bwana huyu hawezi kurudi shuleni?

 
 
 
 

50. Gani kati ya hizi si mbaya kwa afya?

 
 
 
 

Question 1 of 50