Please enter your email:

Cha,vuglika sahihi kwa vale ulivopewa kujazia nafasi ilivoaehwa wazi.Watu wengi husadiki kwamba watoto..1..hilfuata..2..ya wazazi wao. Mzazi akiwa na..3..njema, papa..4..watoto wawe..5….hivyo kwani wahenga..6..mwana hutazama kisogo cha..7

NUMBARI 1

 
 
 
 

NUMBER 2

 
 
 
 

NUMBER 3

 
 
 
 

NUMBER 4

 
 
 
 

NUMBER 5

 
 
 
 

NUMBER 6

 
 
 
 

NUMBER 7

 
 
 
 

Timu..8..shule yetu..9..imefanya mazoezi..10..kutosha na ilikuwa tayari..11…na..12..washindi . Tulipofika uwanjani, tulikuta..13…wamejaa wakingoja..14…ziumizwe. Tulishangilia kwa vitijo na..15…za furaha.

NUMBER 8

 
 
 
 

NUMBER 9

 
 
 
 

NUMBER 10

 
 
 
 

NUMBER 11

 
 
 
 

NUMBER 12

 
 
 
 

NUMBER 13

 
 
 
 

NUMBER 14

 
 
 
 

NUMBER 15

 
 
 
 

. Jibu swali kinyurne cha neno lenye kistari chini yake.

 

16.Badala ya kiatabasamu alianza

 

 
 
 
 

Ni nini ukubwa wa sentensi hii.

17. Mbwa-mweusi ameangukia mti

 

 
 
 
 

Tumia kivumishi mwafaka kwa kujaza pengo kuliko hitajika?

 

18.Nilinunua fagio…….. sokoni.

 

 
 
 
 

19. Umbo hili ni

 

 
 
 
 

20. Ndugu wa kike wa mama huitwaje?

 

 
 
 
 

 Andika kwa tarakimu.

21.Humusi tatu

 

 
 
 
 

22. Kutokana na jina uashi tutapata kitenzi

 

 
 
 
 

 Kanusha sentensi ulivopewa.

23.Mwalimu afundishaye ni mwema.

 

24. Bainishasentensi inayoonyeshakivumishi kimilikishi

 
 
 
 

25.Mtu anayebeba mizigo kwa kulipwa huitwaje?

 
 
 
 

26.Ni sentensi ipi iliyoonyesha matumizi ya kwa

 
 
 
 

Kamilisha methali hii.,

27.Ganda la mua la j ana chungu kaona

 
 
 
 

28.Andika ldsawe cha barabara.

 
 
 
 

29. Neno wavu liko katika ngeli ya

 
 
 
 

30.Silabi moj a katika shairi huitwaje?

 
 
 
 

Sonia kifunzu hiki kisha uchazue maiibu sahihi zaidi kuiazia na kwa maswali ulivopewa.

Mlango ulibishwa kwa upole mara ya kwanza na ya pili. Mara ya tatu mke akanyanyuka kutaka kwenda kuufungua. Papo hapo mume akamnong’onezea,’Ngojea bibi wee! Ngoj a nifiche chakula hiki mvunguni. Kuku huyu ninavyomtarnani siwezi kumgawia mwingine. Hawa ni hao watu wasiojua desturi wala mila. Vipi wanamwendea mtu nSatm.bani kwake saa hizi za maalculi ya chajio?

Bibi hakuyafurahia yaliyosemwa lakini hakuwa na la kufanya ila kutii amri. Baada ya mume kuficha chakula mvungani, bibi akaufungua mlango, mameno yamurnehayakuanguka. Ni maskini aliyekuwa akiomba chakula. Aiiyejibu ni mume. “Sisi watuona tumepakata rnikono hatujaraba riziki hata staftahi hatukuiona, usituzidishe dhiki tulizonazo.”

Miaka, kapita. Bibi huyu akashindwa kuvumilia tabia ya mumewe. Mum.e akamtaliki na baada ya rniaka kadhaa akaolewa na murne.Bwana aliyernwoa alikuwa tofauti kabisa na bwana yake wa kwanza. Hata siku moja rnlaa..n_go ukabishwa. Waldku-wa wanataka kula chamcha. Mke akasita kwenda kuufungua malango mume akarnhimiza aende kuufungua mlango. Kumbe ni maskini aliyeomba ahakula. Mke hakujua la kujibu maana yunageni kwa inu huyo wa pill aliyekuwa n aye. Bwana akamwamuru mke ampatie nusu ya chakula chao na kurntilia katika sufuri a. Maskini alishukuru sana na kuwaaga. Punde to alipotoka, mke akaanza kulia. Mume haIal.fizahi kumwona mkewe anababajilawa ice. machozi.

“Mbona unalia” rake akasema “yule maskini ni mtalaka wangu. Siku moja alikuja rriaskini kuomba chakula. Akaficha na kunakaripia ajabu. Leo ni yeye anayeomba ukarnpa zaidi ya alichotarajia na maneno matamu jula

Mamae akasema. “Na mimi ndiye yule maskini aliyekaripiwa. Niliona surayako ilivyokunjika niIipokaripiwa. Mang’ aliponivaa umaskini nikakutafuta na kukuoa.

                                                                                                                                                                                                                                  

31. Waliohusika rai wangapi katika mkasa huu?

 
 
 
 

32. Mlango ulibishwa mara ngapi?

 
 
 
 

33. Mume alificha chakula wapi?

 
 
 
 

34. Kulinaana na kisa hiki, mume wa, kwanza alikuwa               

 
 
 
 

35. Chajio ni chakula cha          

 
 
 
 

36. Kwa nini mice alisitakuufungua ralango mara ya pill?

 
 
 
 

37.Kilichomfanya mke kulia ni nini?

 
 
 
 

38. Mke alibubujikwa na machozi

 
 
 
 

39.Kwanini mume alimzuia mkewe kuufunguarnlango?

 
 
 
 

40.Methali mwafaka kwa kisa hiki ni

 
 
 
 

41.Katika aya ya kwanza, mwandishi ameyataj a
majangamangapi?

 
 
 
 

42.Kulingana na kifungu, mbali na maradhi watoto

wachanga aidha wanatishwa na

 
 
 
 

43.Ni rnaeiezo yapi sahihi.

 
 
 
 

44.Kwa mujibu wa mwandishi, uhaba wa ajiraunaweza
kuzua matokeo yapi?

 
 
 
 

45.Kwa mujibu wa mwandishi, saratani ya ngozi
inasababishwa na

 
 
 
 

46. Je, unadhani hali ya mambo inayoelezwa hupatikana wapi?

 
 
 
 

47.Kulingana na kifungu, ni takriban kiasi kipi cha wakazi wa mjini hakiishi katika mitaa ya mabanda?

 
 
 
 

48.Ni bayana kuwa uharibifu wa mazingira
utasababisha?

 
 
 
 

49.Kulingana na taarifa, ni kipi kiini cha matatizo yote
yaliyozungumziwa?

 
 
 
 

50.Ni sahihi kusema kuwa

 
 
 
 

Question 1 of 50